Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:6 - Linganisha Matoleo Yote

Wafilipi 3:6 BHN (Biblia Habari Njema)

na nilikuwa na bidii sana hata nikalidhulumu kanisa. Kuhusu uadilifu unaopatikana kwa kuitii sheria, mimi nilikuwa bila hatia yoyote.

Shirikisha
Wafilipi 3 BHN

Wafilipi 3:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi Kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.

Shirikisha
Wafilipi 3 SUV

Wafilipi 3:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.

Shirikisha
Wafilipi 3 SRUV

Wafilipi 3:6 NEN (Neno)

kwa habari ya juhudi, nilikuwa nalitesa kanisa, kuhusu haki inayopatikana kwa sheria, sikuwa na hatia.

Shirikisha
Wafilipi 3 NEN