Hesabu 8:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 8:2 BHN (Biblia Habari Njema)
“Mwambie Aroni kwamba wakati atakapoziweka zile taa saba kwenye kinara, azipange ili ziangaze upande wa mbele wa kinara hicho.”
Hesabu 8:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na Haruni, ukamwambie, Utakapoziweka taa, hizo taa saba zitatoa nuru hapo mbele ya kinara cha taa.
Hesabu 8:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nena na Haruni, ukamwambie, Utakapoziweka taa, hizo taa saba zitatoa nuru hapo mbele ya kinara cha taa.
Hesabu 8:2 NEN (Neno)
“Sema na Haruni umwambie, ‘Utakapoziweka zile taa saba, zinatakiwa kuangaza eneo lililo mbele ya kinara cha taa.’ ”