Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Hesabu 7:78 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 7:78 BHN (Biblia Habari Njema)

Na siku ya kumi na mbili ilikuwa zamu ya Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa kabila la Naftali.

Shirikisha
Hesabu 7 BHN

Hesabu 7:78 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali

Shirikisha
Hesabu 7 SUV

Hesabu 7:78 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali

Shirikisha
Hesabu 7 SRUV

Hesabu 7:78 NEN (Neno)

Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake.

Shirikisha
Hesabu 7 NEN