Rukia hadi maudhui

Hesabu 5:2 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 5:2 BHN (Biblia Habari Njema)

“Waamuru Waisraeli wamtoe nje ya kambi kila mtu mwenye ukoma, kila mtu anayetokwa usaha, na kila aliye najisi kwa kugusa maiti.

Hesabu 5 BHN

Hesabu 5:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Waamrishe wana wa Israeli kwamba wamtoe kila mwenye ukoma maragoni, na kila mtu aliye na kisonono, na kila aliye najisi kwa ajili ya wafu

Hesabu 5 SUV

Hesabu 5:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Waamrishe wana wa Israeli kwamba wamtoe kila mwenye ukoma kambini, na kila mtu aliye na kisonono, na kila aliye najisi kwa ajili ya maiti

Hesabu 5 SRUV

Hesabu 5:2 NEN (Neno)

“Waamuru Waisraeli kumtoa nje ya kambi mtu yeyote mwenye ugonjwa wa ngozi uambukizao, au anayetokwa na majimaji ya aina yoyote, au ambaye ni najisi kwa sababu ya maiti.

Hesabu 5 NEN