Rukia hadi maudhui

Hesabu 4:4 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 4:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Hii ndio itakayokuwa huduma ya wana wa Kohathi, kuhusu vitu vitakatifu kabisa.

Hesabu 4 BHN

Hesabu 4:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Huu ndio utumishi wa wana wa Kohathi katika hema ya kukutania, katika vile vyombo vitakatifu sana

Hesabu 4 SUV

Hesabu 4:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Huu ndio utumishi wa wana wa Kohathi katika hema ya kukutania, katika vile vyombo vitakatifu sana

Hesabu 4 SRUV

Hesabu 4:4 NEN (Neno)

“Hii ndiyo kazi ya Wakohathi katika Hema la Kukutania: Watatunza vitu vilivyo vitakatifu sana.

Hesabu 4 NEN