Hesabu 4:3 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 4:3 BHN (Biblia Habari Njema)
utawaorodhesha wanaume wote wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini wanaofaa kujiunga na huduma ya hema la mkutano.
Hesabu 4:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi hata umri wa miaka hamsini, wote waingiao katika utumishi huo, ili kufanya kazi ya hema ya kukutania.
Hesabu 4:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi hata umri wa miaka hamsini, wote waingiao katika utumishi huo, ili kufanya kazi ya hema ya kukutania.
Hesabu 4:3 NEN (Neno)
Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania.