Rukia hadi maudhui

Hesabu 3:9 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 3:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Walawi utampa Aroni na wazawa wake makuhani; hao wametolewa kati ya Waisraeli wawahudumie kabisa.

Hesabu 3 BHN

Hesabu 3:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nawe utawapa Haruni na wanawe hao Walawi wawe nao; amepewa watu hao kabisa kwa ajili ya wana wa Israeli.

Hesabu 3 SUV

Hesabu 3:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nawe utawapa Haruni na wanawe hao Walawi wawe nao; amepewa watu hao kabisa kwa ajili ya wana wa Israeli.

Hesabu 3 SRUV

Hesabu 3:9 NEN (Neno)

Wakabidhi Walawi kwa Haruni na wanawe; hao ndio Waisraeli ambao wanakabidhiwa kwake kabisa.

Hesabu 3 NEN