Hesabu 3:7 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 3:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Watafanya kazi kwa niaba yake na ya jumuiya yote kwenye hema la mkutano wanapohudumu mahali patakatifu
Hesabu 3:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wataulinda ulinzi wake, na ulinzi wa mkutano wote mbele ya hema ya kukutania, ili watumike utumishi wa maskani.
Hesabu 3:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao watamtumikia pamoja na watu wote mbele ya hema ya kukutania, kwa kuhudumu katika maskani.
Hesabu 3:7 NEN (Neno)
Watafanya huduma kwa ajili yake na kwa jumuiya yote katika Hema la Kukutania kwa kufanya kazi za Maskani.