Hesabu 3:30 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 3:30 BHN (Biblia Habari Njema)
naye Elisafani, akiwa mkuu wa ukoo huo wa familia za Wakohathi.
Hesabu 3:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkuu wa nyumba ya baba za jamaa za Wakohathi atakuwa Elisafani mwana wa Uzieli.
Hesabu 3:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mkuu wa nyumba ya baba za jamaa za Wakohathi atakuwa Elisafani mwana wa Uzieli.
Hesabu 3:30 NEN (Neno)
Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli.