Hesabu 3:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 3:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Haya ndiyo majina ya wana wa Aroni: Nadabu, mzaliwa wake wa kwanza, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Hesabu 3:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena majina ya hao wana wa Haruni ni haya; Nadabu mzaliwa wa kwanza, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Hesabu 3:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tena majina ya hao wana wa Haruni ni haya; Nadabu mzaliwa wa kwanza, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Hesabu 3:2 NEN (Neno)
Majina ya wana wa Haruni yalikuwa: Nadabu mzaliwa wa kwanza na Abihu, Eleazari na Ithamari.