Rukia hadi maudhui

Hesabu 3:1 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 3:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Wafuatao ndio wazawa wa Aroni na Mose wakati Mwenyezi-Mungu alipozungumza na Mose mlimani Sinai.

Hesabu 3 BHN

Hesabu 3:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi vizazi vya Haruni na Musa, siku hiyo BWANA aliyosema na Musa katika mlima wa Sinai, ni hivi.

Hesabu 3 SUV

Hesabu 3:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi vizazi vya Haruni na Musa, siku hiyo BWANA aliyosema na Musa katika mlima wa Sinai, ni hivi.

Hesabu 3 SRUV

Hesabu 3:1 NEN (Neno)

Hivi ndivyo vizazi vya Haruni na Musa kwa wakati ambao BWANA alizungumza na Musa katika Mlima Sinai.

Hesabu 3 NEN