Rukia hadi maudhui

Hesabu 28:7 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 28:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Sadaka ya kinywaji itakayotolewa na kila mwanakondoo ni lita moja ya divai. Utaimimina sadaka hii ya kinywaji kikali mahali patakatifu.

Hesabu 28 BHN

Hesabu 28:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na sadaka yake ya kinywaji itakuwa robo ya hini kwa mwana-kondoo mmoja; hiyo sadaka ya kinywaji, ya kileo, utammiminia BWANA katika mahali hapo patakatifu.

Hesabu 28 SUV

Hesabu 28:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na sadaka yake ya kinywaji itakuwa robo ya hini kwa mwana-kondoo mmoja; hiyo sadaka ya kinywaji, ya kileo, utammiminia BWANA katika mahali hapo patakatifu.

Hesabu 28 SRUV

Hesabu 28:7 NEN (Neno)

Sadaka ya kinywaji itakayotolewa pamoja na kila mwana-kondoo ni robo ya hini ya kinywaji kilichochachuka. Mimina sadaka ya kinywaji kwa BWANA mahali patakatifu.

Hesabu 28 NEN