Rukia hadi maudhui

Hesabu 26:65 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 26:65 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema kwamba wote watafia jangwani, na kweli hakuna hata mmoja wao aliyebaki hai, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.

Hesabu 26 BHN

Hesabu 26:65 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa kuwa BWANA alisema juu yao, Hapana budi watakufa nyikani. Napo hapakusalia mtu mmoja miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.

Hesabu 26 SUV

Hesabu 26:65 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa kuwa BWANA alisema juu yao, Hapana budi watakufa nyikani. Napo hapakusalia mtu mmoja miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.

Hesabu 26 SRUV

Hesabu 26:65 NEN (Neno)

Kwa maana BWANA alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.

Hesabu 26 NEN