Rukia hadi maudhui

Hesabu 26:64 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 26:64 BHN (Biblia Habari Njema)

Miongoni mwao hakuwamo hata mtu mmoja aliyesalia kati ya wale waliohesabiwa na Mose na kuhani Aroni ambao walifanya sensa ya kwanza jangwani Sinai.

Hesabu 26 BHN

Hesabu 26:64 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini katika watu hao hapakuwa na mtu hata mmoja wa wale waliohesabiwa na Musa na Haruni kuhani; waliowahesabu wana wa Israeli katika bara ya Sinai.

Hesabu 26 SUV

Hesabu 26:64 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini katika watu hao hapakuwa na mtu hata mmoja wa wale waliohesabiwa na Musa na Haruni kuhani; waliowahesabu wana wa Israeli katika bara ya Sinai.

Hesabu 26 SRUV

Hesabu 26:64 NEN (Neno)

Hakuna hata mmoja wao aliyekuwa miongoni mwa wale waliohesabiwa na Musa na kuhani Haruni wakati waliwahesabu Waisraeli katika Jangwa la Sinai.

Hesabu 26 NEN