Rukia hadi maudhui

Hesabu 26:63 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 26:63 BHN (Biblia Habari Njema)

Hao ndio wanaume Waisraeli walioorodheshwa na Mose na kuhani Eleazari katika nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko.

Hesabu 26 BHN

Hesabu 26:63 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hao ndio waliohesabiwa na Musa na Eleazari kuhani; ambao waliwahesabu wana wa Israeli katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko.

Hesabu 26 SUV

Hesabu 26:63 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hao ndio waliohesabiwa na Musa na Eleazari kuhani; ambao waliwahesabu wana wa Israeli katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko.

Hesabu 26 SRUV

Hesabu 26:63 NEN (Neno)

Hawa ndio walioorodheshwa na Musa na kuhani Eleazari wakati waliwahesabu Waisraeli kwenye nchi tambarare ya Moabu, kando ya Yordani, ngʼambo ya Yeriko.

Hesabu 26 NEN