Rukia hadi maudhui

Hesabu 26:1 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 26:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni

Hesabu 26 BHN

Hesabu 26:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia

Hesabu 26 SUV

Hesabu 26:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia

Hesabu 26 SRUV

Hesabu 26:1 NEN (Neno)

Baada ya hiyo tauni, BWANA akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni

Hesabu 26 NEN