Hesabu 25:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 25:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Wanawake hao waliwaalika Waisraeli washiriki matambiko waliyotambikia miungu yao, nao Waisraeli wakala chakula na kuiabudu miungu yao.
Shirikisha
Hesabu 25 BHNHesabu 25:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao; watu wakala chakula, wakaisujudu hiyo miungu yao.
Shirikisha
Hesabu 25 SUVHesabu 25:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao; watu wakala chakula, wakaisujudu hiyo miungu yao.
Shirikisha
Hesabu 25 SRUVHesabu 25:2 NEN (Neno)
ambao waliwaalika kushiriki katika sadaka kwa miungu yao. Watu wakala na kusujudu mbele ya miungu hiyo.
Shirikisha
Hesabu 25 NEN