Hesabu 20:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 20:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mahali hapo walipopiga kambi hapakuwa na maji. Kwa hiyo watu jumuiya yote, wakakusanyika kinyume cha Mose na Aroni.
Hesabu 20:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo hapakuwa na maji kwa ule mkutano; wakajikusanya juu ya Musa na juu ya Haruni.
Hesabu 20:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na hapo hapakuwa na maji kwa ule mkutano; wakakusanyika Juu ya Musa na juu ya Haruni.
Hesabu 20:2 NEN (Neno)
Mahali hapo hapakuwa na maji kwa ajili ya jumuiya hiyo, nao wakakusanyika ili kumpinga Musa na Haruni.