Rukia hadi maudhui

Hesabu 2:9 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 2:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Jumla yote ya watu watakaokuwa katika kambi ya Yuda kulingana na makundi yao ni watu 186,400. Hao ndio watakaotangulia kusafiri.

Hesabu 2 BHN

Hesabu 2:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hao wote waliohesabiwa katika marago ya Yuda walikuwa mia na themanini na sita elfu na mia nne, kwa majeshi yao. Hao ndio watakaosafiri mbele.

Hesabu 2 SUV

Hesabu 2:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hao wote waliohesabiwa katika kambi ya Yuda walikuwa elfu mia moja themanini na sita na mia nne, kwa makundi yao. Hao ndio watakaotangulia mbele.

Hesabu 2 SRUV

Hesabu 2:9 NEN (Neno)

Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni elfu mia moja themanini na sita na mia nne. Wao watatangulia kuondoka.

Hesabu 2 NEN