Hesabu 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
“Waisraeli watapiga kambi zao, kila mmoja akikaa mahali penye bendera yake, penye alama za ukoo wake. Watapiga kambi zao kulizunguka hema la mkutano.
Shirikisha
Hesabu 2 BHNHesabu 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli watapanga kila mtu penye beramu yake mwenyewe, na alama za nyumba za baba zao; kuikabili hema ya kukutania ndiko watakakopanga kwa kuizunguka pande zote.
Shirikisha
Hesabu 2 SUVHesabu 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli watapanga kila mtu penye bendera yake mwenyewe, na alama za nyumba za baba zao; kuikabili hema ya kukutania ndiko watakakopanga kwa kuizunguka pande zote.
Shirikisha
Hesabu 2 SRUVHesabu 2:2 NEN (Neno)
“Waisraeli watapiga kambi zao kuzunguka Hema la Kukutania kwa umbali kiasi, kila mwanaume akiwa chini ya beramu yake, pamoja na bendera ya jamaa yake.”
Shirikisha
Hesabu 2 NEN