Rukia hadi maudhui

Hesabu 2:17 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 2:17 BHN (Biblia Habari Njema)

“Halafu, kambi ya kabila la Walawi, ikiwa katikati ya kambi zote, na wakiwa wamebeba hilo hema la mkutano, wataondoka; kila kundi litasafiri kwa kufuata nafasi yake chini ya bendera yao.

Hesabu 2 BHN

Hesabu 2:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo hema ya kukutania itasafiri, pamoja na marago ya Walawi katikati ya marago yote; kama wapangavyo marago, watasafiri vivyo, kila mtu mahali pake, penye beramu zao.

Hesabu 2 SUV

Hesabu 2:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo hema ya kukutania itasafiri, pamoja na kambi za Walawi katikati ya kambi zote; kama wapangavyo kambi, watasafiri vivyo hivyo, kila mtu mahali pake, penye bendera zao.

Hesabu 2 SRUV

Hesabu 2:17 NEN (Neno)

Kisha Hema la Kukutania na kambi ya Walawi vitakuwa katikati ya kambi zote. Wao watasafiri kwa utaratibu ule ule kama walivyopiga kambi, kila mmoja mahali pake mwenyewe chini ya beramu yake.

Hesabu 2 NEN