Rukia hadi maudhui

Hesabu 16:2 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 16:2 BHN (Biblia Habari Njema)

hao wote waliungwa mkono na viongozi mashuhuri 250 waliochaguliwa na jumuiya yote, wakamwasi Mose.

Hesabu 16 BHN

Hesabu 16:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

nao, pamoja na watu kadha wa kadha wa wana wa Israeli, watu mia mbili na hamsini, Wakuu wa mkutano, waliokuwa wateule wa mkutano, watu wenye sifa, wakainuka mbele ya Musa

Hesabu 16 SUV

Hesabu 16:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

nao, pamoja na watu kadhaa wa wana wa Israeli, watu mia mbili na hamsini, Wakuu wa mkutano, waliokuwa wateule wa mkutano, watu wenye sifa, wakainuka mbele ya Musa

Hesabu 16 SRUV

Hesabu 16:2 NEN (Neno)

wakainuka dhidi ya Musa. Pamoja nao walikuwa wanaume Waisraeli mia mbili na hamsini, watu waliojulikana, viongozi wa jumuiya waliokuwa wameteuliwa kuwa wakuu wa kusanyiko.

Hesabu 16 NEN