Hesabu 13:4 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 13:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Ifuatayo ndiyo orodha ya majina ya watu hao: Kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri.
Hesabu 13:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majina yao ni haya; katika kabila ya Reubeni, Shamua mwana Zakuri.
Hesabu 13:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na majina yao ni haya; katika kabila la Reubeni, Shamua mwana Zakuri.
Hesabu 13:4 NEN (Neno)
Haya ndiyo majina yao: kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri