Hesabu 10:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hesabu 10:2 BHN (Biblia Habari Njema)
“Tengeneza tarumbeta mbili kwa fedha iliyofuliwa. Utazitumia tarumbeta hizo wakati wa kuwaita watu na wakati wa kuvunja kambi.
Hesabu 10:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jifanyie tarumbeta mbili za fedha; utazifanya za kazi ya ufuzi; nawe utazitumia kwa kuwaita mkutano wakutane, na kwa kusafiri kwao yale makambi.
Hesabu 10:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Jifanyie tarumbeta mbili za fedha; utazifanya za kazi ya ufuzi; nawe utazitumia kwa kuwaita mkutano wakutane, na kwa kusafiri kwao yale makambi.
Hesabu 10:2 NEN (Neno)
“Tengeneza tarumbeta mbili za fedha ya kufua, uzitumie kwa kuita jumuiya pamoja na wakati wa kuvunja makambi ili kuondoka.