Rukia hadi maudhui

Hesabu 1:2 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 1:2 BHN (Biblia Habari Njema)

“Wewe na Aroni fanyeni sensa ya jumuiya yote ya Waisraeli, familia mojamoja kwa kufuata koo zao na idadi ya majina yao kila mwanamume mmojammoja

Hesabu 1 BHN

Hesabu 1:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Fanyeni hesabu ya mkutano wote wa wana wa Israeli, kwa kuandama jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina ilivyo, kila mtu mume kichwa kwa kichwa

Hesabu 1 SUV

Hesabu 1:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Fanyeni hesabu ya watu wote wa Israeli, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina ilivyo, kila mwanamume mmoja mmoja

Hesabu 1 SRUV

Hesabu 1:2 NEN (Neno)

“Hesabu watu wa jumuiya yote ya Waisraeli kwa kufuata koo zao na jamaa zao, ukiorodhesha kila mwanaume kwa jina lake, mmoja mmoja.

Hesabu 1 NEN