Mathayo 9:38 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 9:38 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”
Shirikisha
Mathayo 9 BHNMathayo 9:38 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
Shirikisha
Mathayo 9 SUVMathayo 9:38 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, atume wafanya kazi katika mavuno yake.
Shirikisha
Mathayo 9 SRUVMathayo 9:38 NEN (Neno)
Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili atume watendakazi katika shamba lake la mavuno.”
Shirikisha
Mathayo 9 NEN