Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 9:20 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 9:20 BHN (Biblia Habari Njema)

Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.

Shirikisha
Mathayo 9 BHN

Mathayo 9:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake.

Shirikisha
Mathayo 9 SUV

Mathayo 9:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake.

Shirikisha
Mathayo 9 SRUV

Mathayo 9:20 NEN (Neno)

Wakati huo huo, mwanamke mmoja, aliyekuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na mbili, akaja nyuma ya Yesu, akagusa upindo wa vazi lake

Shirikisha
Mathayo 9 NEN