Mathayo 9:2 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 9:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, “Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako.”
Shirikisha
Mathayo 9 BHNMathayo 9:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Shirikisha
Mathayo 9 SUVMathayo 9:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, akiwa amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Shirikisha
Mathayo 9 SRUVMathayo 9:2 NEN (Neno)
Wakati huo huo wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye mkeka. Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, “Mwanangu, jipe moyo mkuu. Dhambi zako zimesamehewa.”
Shirikisha
Mathayo 9 NEN