Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 9:14 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 9:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?”

Shirikisha
Mathayo 9 BHN

Mathayo 9:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati ule wanafunzi wake Yohana wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, bali wanafunzi wako hawafungi?

Shirikisha
Mathayo 9 SUV

Mathayo 9:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati ule wanafunzi wake Yohana wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo tunafunga, bali wanafunzi wako hawafungi?

Shirikisha
Mathayo 9 SRUV

Mathayo 9:14 NEN (Neno)

Wanafunzi wa Yohana Mbatizaji wakaja na kumuuliza Yesu, “Imekuwaje kwamba sisi na Mafarisayo tunafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Shirikisha
Mathayo 9 NEN