Mathayo 8:19 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 8:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Shirikisha
Mathayo 8 BHNMathayo 8:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.
Shirikisha
Mathayo 8 SUVMathayo 8:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.
Shirikisha
Mathayo 8 SRUVMathayo 8:19 NEN (Neno)
Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Yesu na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata popote utakakoenda.”
Shirikisha
Mathayo 8 NEN