Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 8:14 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 8:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, ana homa kali.

Shirikisha
Mathayo 8 BHN

Mathayo 8:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata Yesu alipofika nyumbani kwa Petro, akamwona mkwe wa Petro, mamaye mkewe, amelala kitandani hawezi homa.

Shirikisha
Mathayo 8 SUV

Mathayo 8:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Yesu alipofika nyumbani kwa Petro, akamwona mkwe wa Petro, mamaye mkewe, amelala kitandani akiugua homa.

Shirikisha
Mathayo 8 SRUV

Mathayo 8:14 NEN (Neno)

Yesu alipoingia nyumbani mwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa.

Shirikisha
Mathayo 8 NEN