Mathayo 7:3 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 7:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
Mathayo 7:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Mathayo 7:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huioni?
Mathayo 7:3 NEN (Neno)
“Mbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe?