Mathayo 4:5 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 4:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu
Shirikisha
Mathayo 4 BHNMathayo 4:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu
Shirikisha
Mathayo 4 SUVMathayo 4:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu
Shirikisha
Mathayo 4 SRUVMathayo 4:5 NEN (Neno)
Ndipo ibilisi akampeleka Yesu hadi mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu
Shirikisha
Mathayo 4 NEN