Mathayo 28:8 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 28:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, hao wanawake walitoka upesi kaburini, wakakimbia kwenda kuwaambia wanafunzi wake.
Shirikisha
Mathayo 28 BHNMathayo 28:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
Shirikisha
Mathayo 28 SUVMathayo 28:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
Shirikisha
Mathayo 28 SRUVMathayo 28:8 NEN (Neno)
Hivyo wale wanawake wakaondoka pale kaburini wakiwa wamejawa na hofu, lakini wakiwa na furaha nyingi. Wakaenda mbio kuwaeleza wanafunzi wake habari hizo.
Shirikisha
Mathayo 28 NEN