Mathayo 28:2 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 28:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Ghafla kukatokea tetemeko kubwa la nchi; malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akalivingirisha lile jiwe, akalikalia.
Shirikisha
Mathayo 28 BHNMathayo 28:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Shirikisha
Mathayo 28 SUVMathayo 28:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Shirikisha
Mathayo 28 SRUVMathayo 28:2 NEN (Neno)
Ghafula, pakawa na tetemeko kubwa la ardhi, kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaenda kwenye kaburi, akalivingirisha lile jiwe na kulikalia.
Shirikisha
Mathayo 28 NEN