Rukia hadi maudhui

Mathayo 27:66 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 27:66 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, wakaenda, wakalilinda kaburi, wakatia mhuri juu ya lile jiwe na kuacha hapo askari walinzi.

Mathayo 27 BHN

Mathayo 27:66 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe muhuri, pamoja na wale askari walinzi.

Mathayo 27 SUV

Mathayo 27:66 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe mhuri, pamoja na kuwaweka wale askari walinzi.

Mathayo 27 SRUV

Mathayo 27:66 NEN (Neno)

Hivyo basi wakaenda na walinzi ili kulilinda kaburi kwa uthabiti, wakatia muhuri kwenye lile jiwe na kuweka ulinzi.

Mathayo 27 NEN