Mathayo 27:62 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:62 BHN (Biblia Habari Njema)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato
Mathayo 27:62 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato
Mathayo 27:62 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato
Mathayo 27:62 NEN (Neno)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato