Rukia hadi maudhui

Mathayo 27:61 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 27:61 BHN (Biblia Habari Njema)

Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.

Mathayo 27 BHN

Mathayo 27:61 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi.

Mathayo 27 SUV

Mathayo 27:61 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi.

Mathayo 27 SRUV

Mathayo 27:61 NEN (Neno)

Mariamu Magdalene na yule Mariamu mwingine walikuwa mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi.

Mathayo 27 NEN