Rukia hadi maudhui

Mathayo 27:60 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 27:60 BHN (Biblia Habari Njema)

akauweka ndani ya kaburi lake jipya alilokuwa amelichonga katika mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.

Mathayo 27 BHN

Mathayo 27:60 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

akauweka katika kaburi lake jipya, alilokuwa amelichonga mwambani; akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.

Mathayo 27 SUV

Mathayo 27:60 SRUV (Swahili Revised Union Version)

akauweka katika kaburi lake jipya, alilokuwa amelichonga mwambani; akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.

Mathayo 27 SRUV

Mathayo 27:60 NEN (Neno)

na kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake.

Mathayo 27 NEN