Mathayo 27:6 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, “Haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu.”
Shirikisha
Mathayo 27 BHNMathayo 27:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu.
Shirikisha
Mathayo 27 SUVMathayo 27:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni fedha ya damu.
Shirikisha
Mathayo 27 SRUVMathayo 27:6 NEN (Neno)
Wale viongozi wa makuhani wakazichukua zile fedha wakasema, “Si halali kuchanganya fedha hizi na sadaka kwa sababu hizi ni fedha zenye damu.”
Shirikisha
Mathayo 27 NEN