Mathayo 27:57 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:57 BHN (Biblia Habari Njema)
Ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa Arimathaya, jina lake Yosefu. Yeye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Mathayo 27:57 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu
Mathayo 27:57 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu
Mathayo 27:57 NEN (Neno)
Ilipofika jioni, alifika mtu mmoja tajiri kutoka Arimathaya aitwaye Yusufu, ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.