Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 27:55 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 27:55 BHN (Biblia Habari Njema)

Mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao ndio wale waliomfuata Yesu kutoka Galilaya wakimtumikia.

Shirikisha
Mathayo 27 BHN

Mathayo 27:55 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Palikuwa na wanawake wengi pale wakitazama kwa mbali, hao ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Shirikisha
Mathayo 27 SUV

Mathayo 27:55 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Palikuwa na wanawake wengi pale wakitazama kwa mbali, hao ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Shirikisha
Mathayo 27 SRUV

Mathayo 27:55 NEN (Neno)

Wanawake wengi walikuwa pale wakitazama kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Yesu tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake.

Shirikisha
Mathayo 27 NEN