Mathayo 27:52 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:52 BHN (Biblia Habari Njema)
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa
Shirikisha
Mathayo 27 BHNMathayo 27:52 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Shirikisha
Mathayo 27 SUVMathayo 27:52 SRUV (Swahili Revised Union Version)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Shirikisha
Mathayo 27 SRUVMathayo 27:52 NEN (Neno)
Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Shirikisha
Mathayo 27 NEN