Mathayo 27:42 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:42 BHN (Biblia Habari Njema)
“Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! Ati yeye ni mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, nasi tutamwamini.
Mathayo 27:42 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ni mfalme wa Israeli; na ashuke sasa msalabani, nasi tutamwamini.
Mathayo 27:42 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yeye ni mfalme wa Israeli; na ashuke sasa msalabani, nasi tutamwamini.
Mathayo 27:42 NEN (Neno)
“Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni mfalme wa Israeli! Ashuke sasa msalabani, nasi tutamwamini.