Mathayo 27:4 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Akawaambia, “Nimekosa kwa kumtoa mtu asiye na hatia auawe.” Lakini wao wakasema, “Yatuhusu nini sisi? Hilo ni shauri lako.”
Shirikisha
Mathayo 27 BHNMathayo 27:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe.
Shirikisha
Mathayo 27 SUVMathayo 27:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Basi, haya yatuhusu nini sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe.
Shirikisha
Mathayo 27 SRUVMathayo 27:4 NEN (Neno)
Akasema, “Nimetenda dhambi, kwa maana nimeisaliti damu isiyo na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”
Shirikisha
Mathayo 27 NEN