Mathayo 27:39 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:39 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema
Mathayo 27:39 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa vyao, wakisema
Mathayo 27:39 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema
Mathayo 27:39 NEN (Neno)
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao