Mathayo 27:20 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe.
Mathayo 27:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakuu wa makuhani na wazee wakawashawishi makutano ili wamtake Baraba, na kumwangamiza Yesu.
Mathayo 27:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao wakuu wa makuhani na wazee wakawashawishi makutano ili wamtake Baraba, na kumwangamiza Yesu.
Mathayo 27:20 NEN (Neno)
Lakini viongozi wa makuhani na wazee wakashawishi umati wa watu kwamba waombe Baraba afunguliwe, naye Yesu auawe.