Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 27:16 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 27:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba.

Shirikisha
Mathayo 27 BHN

Mathayo 27:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba.

Shirikisha
Mathayo 27 SUV

Mathayo 27:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba.

Shirikisha
Mathayo 27 SRUV

Mathayo 27:16 NEN (Neno)

Palikuwa na mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba.

Shirikisha
Mathayo 27 NEN