Mathayo 27:12 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 27:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno.
Mathayo 27:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno.
Mathayo 27:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno.
Mathayo 27:12 NEN (Neno)
Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno.