Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:73 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 26:73 BHN (Biblia Habari Njema)

Baadaye kidogo, watu waliokuwa pale wakamwendea Petro, wakamwambia, “Hakika, wewe pia ni mmoja wao, maana msemo wako unakutambulisha.”

Shirikisha
Mathayo 26 BHN

Mathayo 26:73 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Punde kidogo, wale waliohudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, Hakika wewe nawe u mmoja wao; kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha.

Shirikisha
Mathayo 26 SUV

Mathayo 26:73 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Punde kidogo, wale waliokuwapo wakamwendea, wakamwambia Petro, Hakika wewe nawe u mmoja wao; kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha.

Shirikisha
Mathayo 26 SRUV

Mathayo 26:73 NEN (Neno)

Baada ya muda mfupi, wale waliokuwa wamesimama pale wakamwendea Petro, wakamwambia, “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana usemi wako ni kama wao.”

Shirikisha
Mathayo 26 NEN